Supastaa wa Bongo fleva Diamond Platnumz “Baba Tiffah” ameshinda tuzo za Bingwa Music, kipengele cha Msanii wa Mwaka kutoka Tanzania, tuzo zimefanyika usiku wa kuamkia leo nchini Kenya.
0 comments:
Post a Comment