Monday, January 25, 2016

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar Adelaide amejikuta akichafuliwa kwenye mitandao ya kijamii bila sababu kwamba yeye ni msukule hapo pembeni. Sheria ya mitandao bado haijauma sana maana huu ni uovu wa ajabu sana kwa jamii.




0 comments:

Post a Comment