Wednesday, January 20, 2016

Ubuyu umenyakwa gramuni gramuni…. ni baada ya mwanashosti anayetesa kunako tasnia ya filamu nchini, Wema Sepatu kubandika kwenye akaunti yake ya Instagram
picha ya rafiki yake wa karibu ambaye pia ni mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan na kuandika maneno yafuatayo.
 

0 comments:

Post a Comment