Wednesday, January 20, 2016

Mtandao wa RapUp umeripoti kuwa rapa J. Cole amefunga ndoa kwa siri. Muongozaji wa filamu ya Creed Ryan Coogler alimshtukiza J Cole kwa kumuliza “How did getting married change you?” bila kujua kuwa ndoa ya siri ya J Cole bado haijatangazwa rasmi.

J Cole alishtuka na kucheka tu na baadae kusema “Well, they know now.” akimaanisha ‘Sasa wanajua’.
Mwanamke aliyeolewa na J Cole ni rafiki wake wa zamani aliyekuwa naye Melissa Heholt. Wawili hawa walikutana kabla hawajaanza chuo cha St. John University mjini Queens, New York.
cole-heholt

0 comments:

Post a Comment