Tuesday, February 23, 2016

AJALI MARA: Vifo vyafikia 5 baada ya basi la Nata Raha kugonga nyumba huko Bunda leo, Mganga Mkuu Nicholas Machochota athibitisha. 4 wakimbizwa Bugando, Mwanza.



0 comments:

Post a Comment