Posted by Williammalecela.com on Tuesday, February 23, 2016
Balozi wa Zambia nchini Mhe Judith Kangoma-Kapijimpanga akimsalimia kwa unyenyekevu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne February 23, 2016
0 comments:
Post a Comment