Posted by Williammalecela.com on Sunday, February 14, 2016
Ommy
Dimpoz ni staa mmiliki wa single ya ‘achia body’ ambayo inachezwa
kwenye TV na Radio za Tanzania sasa hivi, wiki iliyopita Ommy alijikuta
mikononi mwa Wanajeshi nje ya makao yao ya Lugalo na kupewa adhabu ya
kuruka kichurachura, tazama hii video hapa chini ujue ilivyokuwa
0 comments:
Post a Comment