Monday, February 15, 2016

maj1
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (katikati) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (kulia) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
maj2
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (katikati) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
maj3
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akiagana  na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (katikati) baada ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment