Thursday, February 25, 2016

mam1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo
Februari 25, 2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
mam2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu         Dar es salaam leo Februari 25, 2016 kwa ajili ya kujitambulisha. (Picha na OMR)
mam3

0 comments:

Post a Comment