Friday, February 19, 2016

 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro atembelea kiwanda cha Moshi cement na kuagiza yafuatayo
Ametoa wiki 4 kuchukua hatua za dharura kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa wafanyakazi na wakazi wa eneo la Holili 
Ameagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Mkoa wa Kilimanjaro kuchunguza na kuchukua hatua za kisheria walihusika na mchakato wa kuidhinisha Fedha za halmashauri ya Rombo shilingi milioni 260 za kufidia ardhi ambayo kiwanda hicho kimejengwa na halmashauri mpaka sasa sio mbia wa Kiwanda na hawajakupwa kodi yeyote mpaka sasa
Aidha amehoji kama halmashauri ilifidia eneo na kiwanda kikajengwa kwanini halmashauri isiwe na hati badala yake mwekezaji anadai hati iandikwe kwa jina lake?        

0 comments:

Post a Comment