Mkuu wa Mkoa wa Kulimanjaro arejesha ekari 2,470 kwa ushirika wa Lokolova . Mgogoro huu umedumu kwa miaka 3 kati ya ushirika na ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Amewaeleza wanaushirika kuwa ofisi yake itaendelea na Mipango ya ujenzi wa soko la kimataifa la Nafaka kwa kutumia ekari 140 serikali ilizopewa na ushirika huo
Aidha ameeleza haoni sababu ya ofisi yake kuingia katika Mgogoro na wananchi Bali ofisi yake inapaswa kuwa kimbilio la wananchi




0 comments:
Post a Comment