Mteja anachotakiwa kufanya ni kupiga simu kwenda Vodacom jumla ya dakika 10 na atazawadiwa dak 60 Voda –Voda bure.Na akituma sms 10 atazawadiwa sms 60 bure kutumia masaa 24, kuanzia saa 12 asb hadi 12 asb kesho yake.
Mteja anaweza kujiunga kwa kupiga *149*01# na kujiunga na Ongea Deilee.
#Tag inayotumika Instagram na twitter ni #OngeaDeilee
0 comments:
Post a Comment