Thursday, February 4, 2016



    @TANGAZO MAALUM:- Sherehe za Miaka 3 ya Blogu ya Wananchi Media Company LTD, zitafanyika kuanzia Tarehe 25-27 February/2016.....Ratiba itakuwa kama ifuatavyo!!:- (1). TAREHE 25/2/2016 tutakuwa na Mighty Press Conference ambapo tutaweka chini msingi wa Sababu na Sherehe nzima zitakavyofanyika .....(2). TAREHE 26/2/2016 Tutakuwa na Semina maalum ya "KUZALIWA MASKINI SIO ADHABU YA KIFO" katika Ukumbi wa Golden Jubilee Towers Gorofa ya 4 kuanzia saa Tatu Asubuhi mpaka Saa Tisa Mchana......(3). TAREHE 27/2/2016 itakuwa ndio kilele cha Sherehe zetu DINER & DANCE at Hyatt Kempisk Hotel ambapo tutawaalika Wadau wetu 100 kuja kujumuika nasi kufurahia na kusherehekea mafanikio ya jasho letu kuanzia Saa Moja Usiku mpaka Asubuhi....kiingilio kitakuwa ni kwa MUALIKO MAALUM TU!! na 90% watakuwa ni Super Star & Celebrities!!
    - (1). KUTAKUWA NA STREAMING ONLINE LIVE KWA WAPENZI WETU WALIOKO NJE YA NCHI.....(2). ILI Kushiriki Semina ya tarehe 26/2/2016 unatakiwa kutuma majina yako 2 na namba yako ya simu at +255 784 714 283 (3). Again Sherehe za Tarehe 27/2/2016 at Hyatt Kempisk Hotel zitatumbuizwa na Wasanii mbali mbali pamoja na THT Band ....ISIPOKUWA ITAKUWA NI KWA MUALIKO MAALUM TU KWA WADAU WETU WA KARIBU SANA!!
    -.....MGENI WA HESHIMA TAREHE 27/2/2016 ATAKUWA NI Meneja wa Kampeni za Rais Magufuli Mheshimiwa Abdullah Majura Bulembo.....thank U guys!
    ! - Le Mutuz Nation

Le Mutuz Nation leo at Hyatt Kempisk Hotel ukumbi wa KIBO BALLROOM HALL zitakapofanyikia Sherehe hizi za Miaka 3 ya this Blog.



0 comments:

Post a Comment