Thursday, February 4, 2016

Ripoti iliyonifikia muda huu kutokea Mwanza ni hii ya ajali ya Daladala ya abiria inayofanya safari zake Airport Buhongwa na Lori la kubeba kokoto, naambiwa Dereva wa Daladala hali yake sio nzuri tayari yupo Hospitali kwa matibabu na majeruhi wengine.
Ajali imetokea eneo la Buhongwa jirani na stendi ya Daladala barabara ya MwanzaShinyanga mpaka muda huu hakuna ripoti ya kifo, 
















0 comments:

Post a Comment