Thursday, February 4, 2016

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla azindua kampeni ya mkoa ya kupanda miti kijiji cha Mbomai tarafa ya Tarakea na kukagua mashamba ya mfano ya mahindi kuhamasisha kilimo bora na uhifadhi wa mazao
Ameagiza kila wilaya ipande miti1.5m na amewataka wananchi kulinda na kutokuchoma moto msitu wa mlima Kilimanjaro
Aidha amewapongeza wananchi kwa kulima kwa bidii na amewataka kila kaya ijiwekee akiba ya chakula na wauze ziada tu.










0 comments:

Post a Comment