Thursday, February 4, 2016

"Leo bungeni nikiihoji serikali kutaka kujua utatuzi wa tatizo la upatikanaji wa pembejeo za kilimo
kwa mikoa yote ya tanzania ,ikiwa ni pamoja na ucheleweshwaji wa mbolea,mlolongo mkubwa mpaka mkulima kujakuipata mbolea na anaipata kwa bei kubwa,nimeishauri serikali kutafuta njia fupi na ya haraka ktk ugawaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima." - Mh. Neema Mgaya (MB)

0 comments:

Post a Comment