KWELI MDOGO WANGU CALVIN KAVISHE 'Kalooshi' UMEFARIKI DUNIA
ALIYEKUWA Mwanafunzi wa sheria wa Bagamoyo University(UB),
Calvin Kavishe alifariki asubuhi ya kuamkia Januari 31 Mwaka huu, mwili wake ukiwa umeifadhiwa Kwenye Jeneza ndani ya Kanisa Mtakatibu Thomas More ,Mbezi Tanki Bovu, Dar Es Salaam, ambapo Mamia watu wamejitokeza kuuaga mwili huo ambayo unasafirishwa mchana huu kwenda Rombo Mkoani Kilimanjaro kwaajili ya Mazishi yanayotarajiwa kufanyika Kesho.
PICHANI (katikati ni Makamu Mkuu wa chuo acha UB, Profesa Costa MAHALU ambaye akimwelezea Kifo kimekatisha ndoto ya Calvin Kuwa Mwanasheria na kwamba Hiyo ni kazi ya Mungu.(Picha Happiness Katabazi).3/2/2016.

0 comments:
Post a Comment