Thursday, February 4, 2016


Msanii wa Nigeria, Yemi Alade yupo nchini Kenya alikoenda kushoot video ya wimbo wake na kundi la Sauti Sol.Video hiyo ni ya wimbo wa Yemi aliowashirikisha Sauti Sol na unapatikana kwenye album yake, Mama Africa.



0 comments:

Post a Comment