WATU
watano wamekamatwa wakituhumiwa kusababisha kifo cha mama mmoja
aliyejulikana kwa jina la Monique Koumate na watoto wake mapacha
Jumamosi, iliyopita huko Douala nchini Cameroon.
Waliokamatwa ni
mkunga wa hospitali hiyo, wauguzi wawili, mhudumu mkuu wa chumba cha
kuhifadhia maiti ‘Mortuary’ na mdogo wa marehemu Koumate.

0 comments:
Post a Comment