Wednesday, March 2, 2016

Taswira ya Ofisi ya Blogu hii ya Wananchi at Downtown Posta Mpya ilivyokuwa zamani toka kuanzishwa kwa Blogu hii, ambayo sasa Miaka 3 baadaye tumeamua kuibadilisha ili iwe ya kisasa zaidi kulingana na soko la Social Media, ofisi sasa imebomolewa inatengenezwa upya, angalia picha chini.

Ofisi ya Blogu ya Wananchi baada ya kubomolewa na kuanza upya ukarabati wa kuifanya iwe bora zaidi itakapokwisha Wiki Mbili kutoka sasa,




0 comments:

Post a Comment