Kichaa mmoja mkoani morogoro apona kabisa baada ya kufanyiwa maombi na mchungaji na nabii Peter Nyaga
hanya ndiyo aliyo yaandika mchungaji huyo katika mtandaowa facebook akiambatanisha na picha
"Operation rejesha vichaa wote na kufunguliwa kabisa Mungu amenipa jukumu la kuwasaidia na ziara iyo imeanzia morogoro na ni siku ya pili na wamekamatwa wawili bado kazi inaendelea watu wa morogoro wanaendelea kustajabu kwa yale yanayotokea keep in touch na kuangalia yale yanayotendeka"



















0 comments:
Post a Comment