Wednesday, March 2, 2016


"Jana nilikasirika sana pale ‪#‎tmk‬ hospital. Baadhi ya wauguzi Na wakunga wanawatoza Vifaa wajawazito kinyume Na sera Yetu kuwa huduma za wajawazito Na Watoto zitakuwa bure.
Nimewasimamisha watumishi wote 6 waliokuwa shift ya asubuhi juzi Na nimeliagiza Baraza la wauguzi Na wakunga kufanya uchunguzi ni nani haswa aliyebainika Na kumchukulia hatua za kisheria Kwa mujibu wa sheria Yao. Baada ya kuchukua hatua hizo nimebaini kuwa kumbe Ndiyo kamchezo kao. Jamani watumishi badilikeni. Hizi ni zama za ‪#‎hapakazitu‬! ‪#‎siasanivitendo‬ ‪#‎simbadume‬ ‪#‎HK‬ ‪#‎mabadilikoyakweli‬ ‪#‎mfungamageti‬"

0 comments:

Post a Comment