Posted by Williammalecela.com on Monday, March 21, 2016
Mtembezi.com
imemshuhudia leo Mshindi wa tuzo ya Best Movie-East Africa, Elizabeth
Michael ‘Lulu’ siku kadhaa baada ya kutwaa tuzo hiyo mjini Lagos
Nigeria, Ijumapili hii ametinga katika kanisa lake la ‘Living Water
Centre’ lilopo kawe jijini Dar es salaam na kutoa sadaka ya fedha,
ingawa haikutambulika ni shilingi ngapi kwakuwa zilikuwa zimewekwa
kwenye bahasha. Tazama picha uone jinsi Msanii huyo alivyotinga kanisani na fedha hizo.
0 comments:
Post a Comment