March 20 2016 ni siku iliyokuwa ikisubiriwa na Wanazanzibar ili kuikamilisha fursa ya kikatiba kwa kuchagua viongozi wawapendao akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, hii inafuatia kufutwa kwa matokeo ya awali katika uchaguzi uliofanyika October 25 2015 kwa madai kuwa kulikuwa na kasoro zilizojitokeza wakati wa kupiga na kuhesabu kura.
Leo watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa nchi kama vile Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu na wengine.
Tazama video hapa

0 comments:
Post a Comment