Tuesday, March 15, 2016


Ni headlines zilizochukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali  hivi karibuni kuhusiana na msanii Bob Junior kukamatwa na jeshi la polisi, sasa basi msanii huyo yuko uraiani na hapa amefunguka mengi ambayo tulikuwa hatuyafahamu kuhusu kukamatwa kwake.


0 comments:

Post a Comment