March 15 2016 kupitia 255 ya clouds FM zipo stori ambazo zimepata airtime, millardayo.com inakupatia stori zote ambazo zimepata airtime, stori moja wapo ambayo imepata airtime ni pamoja na AY kupata Manager.
March 14 2016 Msanii kutoka kiwanda cha Bongoflevani AY alipost picha kupitia mtandao wake wa instagram akiwa na manager wa Diamond Platinumz, Sallam.
‘Kama watu hawajui mimi na Sallam tulikuwa pamoja tangu wadogo na ni mtu ambaye alikuwa ananisaidia kazi zangu kabla hata ajakutana na kina Tale, yaani mimi mpaka ninafika hapa sikuwahi kuwa na Manager na ndio maana nikaona Sallam ndio mtu anayeweza kuwa Managaer wangu‘>>>AY

0 comments:
Post a Comment