CEO wa FastJet kuacha kazi wiki hii baada ya wawekezaji kulalamika
kuwa shirika lina gharama nyingi, ikiwa ni pamoja na kuwa na makao makuu
London Gatwick pamoja na kwamba shirika linafanya kazi zake Tanzania.
Mwekezaji mkubwa Haji Ioannou amesema kuna hatari kampuni hiyo kuishiwa hela mwaka huu ndani ya miezi sita.
Mwekezaji mkubwa Haji Ioannou amesema kuna hatari kampuni hiyo kuishiwa hela mwaka huu ndani ya miezi sita.
Source:- Kandili Blog
0 comments:
Post a Comment