Watu kadhaa wajeruhiwa baada ya basi la Super Sami toka Mwanza kwenda Dar kupinduka Igogo, Igunga wakati likikwepa ng'ombe.
RPC Tabora Hamis Issa, asema taarifa za awali zaonyesha dereva wa basi la Super Sami lililogonga ng'ombe, kujeruhi abiria alikuwa anaongea na simu.
0 comments:
Post a Comment