Wednesday, March 23, 2016

Mmoja wa Vijana wa kwanza kutoka kimaisha katika Kata ya Sitakishari Ukonga Frank Sanga, amefariki Dunia jana baada ya kuugua kwa muda. Frank alikuwa ni mmoja wa Vijana wa kwanza kupigana na kutoka kimaisha katika Kata hiyo, mazishi yake yatafanyika kesho.

0 comments:

Post a Comment