Mrembo kutoka kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva Tanzania Dyna Nyange amefunguka katika exclusive na Ayo TV kuhusiana na alivyopata wakati mgumu kupata Collabo na mkali wa Bongo Fleva Alikiba.
Dyna alifunguka kuwa amewahi kumuomba Alikiba
collabo zaidi ya mara mbili lakini haikuwa rahisi kumpata “Mtu ambaye
niliwahi kumuomba collabo sikufanikiwa ni Alikiba, sisemi kwa ubaya
lakini Alikiba nimewahi kumuomba collabo mara mbili bila kufanikiwa”
Dyna Nyange
0 comments:
Post a Comment