Saturday, March 26, 2016

12912501_531597050343623_672343619_n
Inaitwa clash of the titans na siri ya mchezo hapa ni fedha ndiyo inayoongea na sio maneno matupu! Diamond na Zari wapo Ulaya kwenye vekesheni inayoendana na ziara ya From Tandale to The World, na sasa ex wa Zari, Ivan ameamua kujibu mapigo kwa kuipeleka familia yake (watoto aliozaa na Zari), kula bata Ibiza.

Yeye anasema, “Flying out to Ibiza just to get some pizza …..#holidayGoals #squadGoals.”
12599545_441512806058466_672592296_n
Seems like competition kati ya Ivan na Zarimond haiwezi kuisha leo wala kesho.
12912367_1558540367809074_579445273_n
12519551_1006612856076041_456312433_n
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Ibiza ni kisiwa kilichopo kwenye bahari ya Mediterranean, kilomita 150 kutoka pwani ya mji wa Valencia, mashariki mwa Hispania.
oceanbeat-ibiza-boat-party-show-with-after-party-in-bora-bora-ibiza-1
Ibiza ni kisiwa cha maraha kinachofahamika kwa maisha ya usiku na muziki wa house.

CHANZO na Bongo5.

0 comments:

Post a Comment