Pamoja na kushinda shilingi milioni 50 kwenye shindano la Bongo Star Search, Kayumba hajatoa hata senti kugharamia utengenezaji wa video ya wimbo wake Katoto.
Video hiyo ilifanyika nchini Afrika Kusini na kuongozwa na Justin Campos.
“Video yote mpaka tumeenda South Africa mpaka tumerudi, tumemaliza video, vitu vyote kasimamia Madam Rita,” amesema Kayumba.
“Milioni 50 toa kabisa, yeye mwenyewe tu alitoa ahadi kuwa mshindi atamsaidia kutoa ngoma kali na video kali, so shout outs sana Madam Rita, nakupenda sana.”
Tazama interview yangu na Kayumba hapo chini.

0 comments:
Post a Comment