Tuesday, March 29, 2016


11373883_1718049158432707_2084925698_n
Lady Jaydee anataka kula dinner na mashabiki wake.
Unachotakiwa kufanya ni kujirekodi na kupost video kwenye Instagram au Facebook ukiimba wimbo wake mpya, Ndindindi.
Lady Jaydee ameandika:
Katika watu wote waliotuma videos Wanaimba NdiNdiNdi Nawashukuru sana Wanaopenda kuendelea wanakaribishwa Ila nitakuwa nazi like huko huko Kwenye page zenu Kifuatacho sasa Nitachagua Clips 3 bora zilizokonga na kusuuza watu wengi Na watatu hao, nitafanya mchakato wa kula nao japo dinner Na ku hang nao siku yoyote nikiwa na event kubwa Majina nitataja baadae kidogo 1. 2. na 3.

0 comments:

Post a Comment