Monday, March 7, 2016

cf802f76-d3e5-48ca-8aa0-7b15551ea0c1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Congo Nchini Tanzania Mhe. Mutamba Jean Pierne, wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini Kwake Ikulu Dar es salaam leo March 07, 2016

0 comments:

Post a Comment