#MillardAyoUPDATES #Tabata leo Lori likapata ajali na kuingia mpaka sebleni kwa mtu, mashuhuda wanasema hakuna aliyeumia ndani ya nyumba isipokua wa kwenye Lori na Mwanamke aliyekua nje ya nyumba wamejeruhiwa. A video posted by millard ayo (@millardayo) on Mar 6, 2016 at 11:12am PST
0 comments:
Post a Comment