Wednesday, March 2, 2016



Ushindi walio pata 3-2 dhidi ya Arsenal iliwafanya kufikia magoli 998 katika Ligi Kuu kutoka magoli 456 ya mechi za nyumbani na kikosi cha Louis van Gaal kina nafasi ya kuweka rekodi hiyo usiku wa Jumatano, wakati Watford itapo kuwa katika uwanja wa Old Trafford.

0 comments:

Post a Comment