Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Young Killer alisema mpenzi wake hawezi kuchana ndio maana ameshindwa kumwingiza kwenye muziki.
“Sijahai kufikia kumwingiza mpenzi wangu kwenye muziki,” alisema Young Killer
Aliongeza, “Kwanza hawezi kuchana, kwa hiyo kitu kama hicho hakiwezekani lakini najua anapenda sana muziki ndio maana unamuoa mara nyingi niko nae studio,”
Young Killer kwa sasa anafanya poa na video yake ya wimbo ‘Popote Kambi’ aliyomshirikisha Juma Nature.

0 comments:
Post a Comment