Meneja wa msanii wa bongo fleva Mirror,anayefahmika kama Petit Man amejitapa kuwa yeye ni kati ya mameneja wazuri na wanaojua muziki na kukanusha tuhuma kuwa anamkwamisha kimuziki msanii anayemsamamia yaani Mirror.
Petit amefunguka hayo baada ya kuwepo maneno kuwa yeye hajui muziki wa bongo fleva hivyo hafai kumsimamia msanii wa bongo fleva kama Mirror.
“wanaosema mimi siujui muziki wao wenyewe wamenikuta kwenye muziki hata kama siimbi ila muziki naujua vizuri,Pia Mirror hachelewi ila sisi tunatoa ngoma zenye uhai mrefu wa kuishi sio za kuchoka ndani ya miezi mitatu…kuna mameneja wengi ila mimi niwezidi vitu vingi“alifunguka Petit Man.
Source: Enewz
0 comments:
Post a Comment