Mwana dada maarufu zaidi katika mitandao ya kijamii Kenya Huddah Monroe ameonekana kwenye video na rapa maarufu nchini Kenya Prezzo huku tetesi zikisamba kuwa wamerudiana.
Video hii alii-shoot mwanadada Huddah akiwa Club wakila bata na Prezzo.Video hii imetoka wiki moja tu baada ya rapa Prezzo kuonekana kitandani na msanii rapa wa kike Noti Flow ambaye ni maarufu kwa kuwa na mahusiano na wasanii wa kike pia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment