Saturday, March 19, 2016

bahati kenya
Muimbaji wa gospel wa nchini Kenya, Bahati amesema anampenda sana Elizabeth ‘Lulu’ Michael na kwamba ana sifa za mwanamke anayetaka awe mke wake.

Bahati amesema hayo kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya kupitia Mseto Salon na Melody Sinzore.
“Nikiweza kumpata Lulu Elizabeth Michael ni kama nitakuwa nimetulia kabisa,” alisema Bahati. “Ni kama mtaacha kusikia niko single tena. Lulu Elizabeth Michael kutoka Tanzania actress.”
Tumsaidiaje sasa Bahati?

chanzo na Bongo5.com

0 comments:

Post a Comment