Nay wa Mitego Amezidi kufunguka baada ya wimbo wake mpya shika adabu yako kuwaponda wasanii na wengine kufunguka kumlaumu...
Siumizwi kichwa na wasanii wanao ni Diss,nachanganyikiwa nikijua nimepoteza Shabiki wakweli ata Mmoja.!! Sitaki kua Msanii mkali Kama watakavyo wao, Mashabiki wangu wana Enjoy ninachofanya najivunia kuwa na Fans wengi. Wanajisifia Ukali na wanakufa njaa. #ShikaAdabuYako Imewapa Stress Daaaah

0 comments:
Post a Comment