Mtu wangu wa nguvu kama wewe ni mpenzi wa burudani basi hii isikukose,millardayo.com inakupa fursa ya kusikiliza 255 ya March 10 2016 kutokea Xxl yaClouds FM, stori ambazo zimepata airtime ni pamoja na hii ya Nay wa Mitego.
Nay wa Mitego ameulizwa kwanini hakuwadiss Diamond Platinumz na Alikiba kwenye nyimbo yake ya Shika adabu yako, je anaogopa team za wawili hao au?, haya ndio majibu ya Nay wa Mitego ‘Nilijua watu wataongelea hili na hata ukiangalia kwenye comment utaona watu wanauliza mbona sija muimba rafiki yangu Diamond Platinumz na ana skendo nyingi, sitaki kufanya kitu ambacho kila mtu anacho kichwani kwake‘>>>Nay wa Mitego


0 comments:
Post a Comment