Nay wa Mitego amesema kuwa amepata matarajio aliyokuwa akiyataka katika video ya wimbo wake uitwao ‘shika adabu yako’ uliofungiwa na Baraza la Sanaa nchini (BASATA).NEY WA MITEGO BASATANay wa Mitego amesema licha ya video hiyo kuzuiwa na BASATA lakini hilo sio tatizo kwake kwa sababu tayari alisha usambaza kwenye mitandao ya kijamii na kuwafikia wadau wa muziki huo.nay wamitego
”kutochezwa kwenye runinga sio tatizo,kwani tayari ilishafika pale nilipohitaji ifike,kwa hiyo mimi naona nimetimiza malengo yangu,kikazi unafanya vizuri sana kwa sababu audio imewafikia niliowakusudia,”alisema Mr Nay.NayMBaada ya kutambulisha wimbo huo,Nay wa Mitego amekuwa akilalamikiwa na wasanii wenzake na wale wa filamu wakidai kwamba amewadhalilisha na baadhi yao wakijipanga kumchukulia hatua za kisheria.RAY KIGOSI
Vilevile rapa huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameendika kuwa baada ya mafanikio makubwa ya nyimbo yake ya Shika Adabu Yako kwa muda mchache anataraji kuachia ngoma mpya ifikapo mwezi May mwaka huu.NayWaMitego
Tar 6,9,16,19,26,29. Kati ya tarehe izi za mwezi wa Tano 5, nitakua naachia Wimbo Mpya. Shika Izo tar. Tunaenda kuweka historia nyingine na Hatua zingine. Love you fans.!!Ameandika Nay Wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Instagram.

0 comments:
Post a Comment