Friday, March 18, 2016

Paul-Okoye
Msanii wa P Square Paul Okoye naye ametoa wimbo wake kama solo artist uliopewa jina la “Call Heaven“.
Paul kwenye huu wimbo anaongelea mambo mabaya yanayozunguka kwenye familia yao ya Okoye ambapo ni yeye, pacha wake Peter na kaka yao Jude okoye.

0 comments:

Post a Comment