Tuesday, March 15, 2016


Some points kutoka kwenye speech ya Mhe Rais leo wakati akiapisha wakuu wa mikoa, Kamishna wa TRA na Mkurugenzi wa Takukuru, Ikulu Dar Es Salaam.


Katika utafiti mdogo uliofanywa na Mhe JPM kwenye Halmashauri 14 katika mikoa miwili ya Singida na Dodoma, ilibainika kwamba, wafanyakazi;
3320 hawakuwepo kazini
202 wanalipwa mishahara hewa
6 wali acha kazi lakini wanalipwa mishahara
27 walifungwa gerezani lkn wanalipwa mishahara
108 Wastaafu lakini wanalipwa mishahara


NUKUU


"** "Haiwezekani vijana wanacheza 'pool' asubuhi saa 2, halafu wazee na wamama ndio wapo mashambani, Nataka Watanzania wakafanye kazi, akishindwa kufanya kazi yeye basi akafanye kwa lazima: akishindwa kamata pelekeni ktk makambi wakafanye kazi kwa lazima"
**Mkurugenzi wa Halmashauri yoyote atakaelipa mishahara hewa kwa mwezi wa tatu mwaka huu atakuwa kajifuta kazi yeye mwenyewe na atafikishwa mahakamani.
**Wakuu wa mikoa mlioapishwa leo muende mkafanye kazi na sio kwenda kutangaza siasa"

By Dr John Pombe Magufuli
( 15 March 2016)

0 comments:

Post a Comment