Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
amtembelea Makamu waKwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif
Hamad, kumjulia hali yake baada ya kupa ruhusa akiwa na Waziri Dkt.
Mwinyihaji Makame, walipofika katika hoteli ya Serena Dar es Salaam. leo
kumtembelea Maalim Seif kwa ajili ya kumjuilia hali. baada ya
kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka katika hospitali ya Hindu Mandal
Jijini Dar es Salaam, amesema afya yake inazidi kuimarika siku hadi
siku. Dkt. Shein alifika hotelini hapo leo majira ya saa mbili usiku.
(Picha na Salmin Said, OMKR)

0 comments:
Post a Comment