Thursday, March 10, 2016


12783503_1683482341940812_1563388725_n
Diamond ameamua kuwaonesha mashabiki wake madolari aliyoyachuma Dubai wiki hii. Ni mengi!!Staa huyo amepost burungutu sita
zilizoshiba za dola mia mia zikiwa juu ya gitaa.

BOFYA HAPA KUONA VIDEO DIAMOND ALIYOPOST 

0 comments:

Post a Comment