Jaji Ibrahim alisema baada ya wajibu maombi kuwasilisha pingamizi la kutaka kutupiliwa mbali rufaa hiyo, mahakama hiyo itatoa maamuzi yake Jumatatu ijayo Machi 14, mwaka huu.
Naye Mwanasheria wa Serikali, Paschal Marugu, aliieleza mahakama hiyo kuwa katika maombi hayo kumeonekana kuna kiapo kilichoapwa na Wakili Mutalemwa, lakini aliyethibitisha ni Denis Kahangwa ambaye hakuapa kiapo hicho ikiwa ni kinyume cha sheria.
"Kwa mujibu wa kanuni, kiapo kinatakiwa kuapwa na mtu aliyethibitisha na sio vinginevyo, hivyo kiapo hicho kimeonyesha kuwa ni batili na kupoteza maana, naiomba mahakama yako iyatupilie mbali maombi hayo kwa mujibu wa sheria," alisema Marugu.
Kwa upande wa waleta maombi ambao waliwakilishwa na wakili Constantini Mutalemwa, waliiomba mahakama hiyo kutenda haki katika kusikiliza ombi hilo kufuatia pingamizi lililoletwa na wajibu maombi, huku akisimamia katika baadhi ya vifungu vya sheria vinavyoeleza kama kuna sehemu imeonyesha kuna makosa ya kiuchapishaji, hivyo mahakama haina haja yakumnyima haki mleta maombi kutokana na dosari hizo.
Wapigakura wanne, walipeleka pingamizi Mahakama Kuu kwa lengo la ‘kumtetea mbunge’ aliyeshindwa, Stephen Wasira, wakidai mbunge aliyeshinda, Bulaya, alicheza ‘mchezo mchafu’ na kutangazwa mshindi.
CHANZO: NIPASHE
Topics:
SIASA
About 2jiachie News

Advertise with 2jiachie
the target audience is primarily youth aged between 15-42 years old.
2jiahie website view's in 90+ countries, but the target audience resides mainly in Tanzania, Kenya and Uganda, with large concentrations in the US and western Europe as well.
Email: 2jiachie@gmail.com
Related Posts

James Lembeli Aruka Kihunzi Kingine....Wenje Aandaa Mashahidi 693 Kupinga Ushindi wa Stanslaus Mabula
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana (Chadema), Ezekiah Wenje (pichani) anakusudia kuita mah...Read more »10Mar2016
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yawavaa waangalizi wa uchaguzi...Baada ya waangalizi wa ndani na nje kugoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed AboudSerikali ya Mapinduzi...Read more »10Mar2016
CCM wakunjana wakitibu makovu la Lowassa
Ni kwenye vikao vya kuthimini walivyopoteza majimbo kwenye uchaguzi mkuu, Nape awa mbogo atish...Read more »10Mar2016
Viongozi wa Chadema Waanza Kuwasili Jijini Mwanza
Viongozi wa ngazi ya juu wa Chadema wameanza kuwasili jijini Mwanza ikiwa ni siku moja kabla ya ...Read more »10Mar2016
Rais wa Zanzibar Dr. Shein Amtembelea na Kumjulia hali Maalim Seif Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiambatana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Ikulu n...Read more »10Mar2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Habari Mpya
-
Amani drops her first single of 2016 titled Bonbon ft. Congolese...Mar 10 2016 | Read more
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mabadiliko ya kiuchumi...Mar 10 2016 | Read more
-
WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce...Mar 10 2016 | Read more
-
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana (Chadema), Ezekiah Wenje ...Mar 10 2016 | Read more
-
Ukiipakua m-paper app tunakuzawadia magazeti 3 ya kwanza...Mar 10 2016 | Read more
Zilizosomwa sana
-
BO NYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO HAYA>>> ...
-
Na Bakari Kimwanga...
-
Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2015 ...
-
-
-
Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, na...
-
BAADA ya kuwa mafichoni kwa takriban wiki moja mkoani...
-
-
Dk 84, African Sports wanapata mkwaju wa adhabu...
-
DAR ES SALAAM! Hii ni EXCLUSIVE stori! Kufuatia kelele...






No comments:
Viungo vya chapisho hili