Rapa mahiri nchini Chidbenz ameweka wazi kuwa Rapa kutoka mkoani Morogoro Stamina alikuwa anamfuatilia na kumkubali sana kiasi cha kujiita Chidbenz enzi hizo kule kwao nakuongeza kuwa watu wengi wanalitambua suala hilo lakini alikuja kubadili mwelekeo baada ya kuona Chidbenz kapotea kwenye ramani ya
muziki.stamina 11Akizungumza na Planet Bongo ya East Afrika Radio Chid amesema siku hizi watu wanamuona Stamina akisema kuwa rapa FID Q ndiye rapa anaye mkubali zaidi lakini haikuwa hivyo toka zamani.Chidbenz amefafanua zaidi na kueleza kuwa Skendo zake za kutumia dawa za kulevya,kufunggwa jela na kupotea kwenye ramani ya muziki ndiko kulimfanya Stamina kutoona sababu ya kujivunia kwake kwahiyo akahamia kwa rapa Fid Q.
Thursday, March 10, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment