Thursday, March 10, 2016

 WACHIMBAJI wadogo watano wamefariki dunia jana huku wengine wanne wakijeruhiwa baada ya kuangukiwa na kifusi cha mchanga wakati wakiwa katika harakati za kutafuta dhahabu kwenye kijiji cha Mgusu mjini Geita.
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.








0 comments:

Post a Comment